Kama una PC na unatumia Android phone, haina aja ya kutumia wire kutransfer data kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye PC au kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu yako. Let’s do this.
Hatuwa ya kwanza, kwenye Android phone yako, fungua Play Store, download application, imendikwa, WiFi FTP server, Kisha install ifungue. ukisha fungua, press start,


Baada ya kupress start, utaenda katika laptop yako. Utafungua This is PC. Ikifungua, uta Right click. Naenda kwenye add a network location.

Kifunguka, press next, chagua customer network location, press internet or network address. Utaweka server URL inayoonekana katika simu yako katika application ya FTP.

UKisha maliza kuandika server URL, Press next then Press next again Itakuja IP address Press next tena Press next. Simu yako itakuwa tayari shafunguka katika pc.

Kwaio hapo unaweza ku transfer file kutoka kwenye simu yako kuenda kwenye PC yako. Au kutuma kwenye PC yako kuenda kwenye simi yako. For More contents like this. Save, share and like. Na usisawa kutufollow Ubebali PC in tiktok www.tiktok.com/@ubeparicompany.